Nchini Uganda, kuelekea uchaguzi mkuu, kumeripotiwa matukio ya wanahabari kushambuliwa na vyombo vya usalama wakati wakiripoti kampeni za uchaguzi na hasa za upinzani.
Matukio kama haya yameshuhudiwa pia katika nchi nyingine za Afrika.