Mwishoni mwa juma lililopita, Marekani iliivamia Venezuela na kumkamata rais Nicolas Maduro, na sasa inatarajiwa kumshtaki kwenye mahakama zake kwa tuhuma za ulanguzi wa dawa za kulevya.
Unafikiri kilichofanywa na Marekani ni sahihi?