Search

Home > EAST AFRICA RADIO USA > Kongamano la wabunge Mombasa
Podcast: EAST AFRICA RADIO USA
Episode:

Kongamano la wabunge Mombasa

Category: Business
Duration: 04:01:00
Publish Date: 2012-06-08 17:00:00
Description: Wito umetolewa kwa kila mkenya hasa viongozi kuhakikisha amani, utulivu na usalama unakuzwa kikamilifu wakati wa msimu wa uchaguzi mkuu ujao. Wito huo umekaririwa na viongozi wakuu mbalimbali wanaokongamana mjini mombasa wakiongozwa na Rais Kibaki na Waziri Mkuu Raila Odinga. Wabunge wanaohudhuria mkutano huo, wamehimizwa kukomesha siasa za uchochezi, kikabila au kimaeneo, na badala yake wakuze siasa za ujumla wa taifa. Makongamano mengine kama hayo ya amani yanatarajiwa kufanywa katika kaunti zote. 
Total Play: 0

Some more Podcasts by Archive

20+ Episodes
30+ Episodes
Ignite Your .. 10+     1
50+ Episodes
Crime and My .. 200+     20+
40+ Episodes
Monday Morni .. 10+    
10+ Episodes
Cycle Econom .. 4     2
10+ Episodes
Force de ven .. 10+     1
6 Episodes
100+ Episodes