Search

Home > Radio D 1 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle > Tukio 04 – Kumsubiri mfanyikazi mwenza mpya
Podcast: Radio D 1 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle
Episode:

Tukio 04 – Kumsubiri mfanyikazi mwenza mpya

Category: Education
Duration: 00:13:24
Publish Date: 2009-08-24 11:58:00
Description: Wafanyikazi wa kitengo cha uhariri cha Radio D wanamsubiri Philipp. Paula na Ayhan, watakaofanya kazi na Philipp, wanajifurahisha. Philipp haonekani na simu hazifanyi kazi. Philipp amechelewa sana kwa sababu ya hali mbaya ya hewa. Anajaribu kumpigia simu Paula ili amjulishe, lakini hampati. Philipp anatatizika zaidi kwa sababu ya simu anayopokea kutoka kwa mama yake. Philipp anaomba radhi kwa kuchelewa kwake. Katika tukio hili, utasikia misemo tofauti ya kuomba radhi na kutoa udhuru.
Total Play: 0

Some more Podcasts by DW.COM | Deutsche Welle

20+ Episodes
Radio D 1 | .. 40+     40+
20+ Episodes
Radio D 1 | .. 2     10+
20+ Episodes
Radio D 2| .. 10+     10+
20+ Episodes
Radio D Pjes .. 1     2
20+ Episodes
Radio D | Al .. 10+     10+
20+ Episodes
Radio D | De .. 10+     7
20+ Episodes
Radio D | U .. 30+     10+
20+ Episodes
Radio D | U .. 5     6