Search

Home > Radio D 1 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle > Tukio 05 – Mfalme Ludwig bado yu hai!
Podcast: Radio D 1 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle
Episode:

Tukio 05 – Mfalme Ludwig bado yu hai!

Category: Education
Duration: 00:14:04
Publish Date: 2009-08-24 12:00:00
Description: Paula na Ayhan wanamkaribisha mfanyikazi mwenzao mpya katika Radio D. Tayari wana jukumu muhimu la kutekeleza. Marehemu Mfalme Ludwig wa Bavaria anasemekana angali hai na kundi hilo linataka kuchunguza kadhia hiyo. Philipp anakutana na wafanyikazi wenzake wapya Paula na Ayhan, na pia Josefine ambaye anasimamia taratibu za afisini. Hapana muda wa kupoteza maana Philipp na Ayhan tayari wanajua habari yao ya kwanza. Kuna tetesi kwamba mfalme maarufu Ludwig wa Pili wa Bavaria angali hai, ingawa alisemekana alifariki kwa njia isiyoeleweka mwaka 1886. Waandishi habari hao wawili wanaelekea katika Kasri la Neuschwanstein kuchunguza na kujifahamisha. Mambo yasiyoeleweka yanazua maswali mengi. Katika tukio hili unaweza kufahamu zaidi maneno ya kuulizia maswali na majibu.
Total Play: 0

Some more Podcasts by DW.COM | Deutsche Welle

20+ Episodes
Radio D 1 | .. 40+     40+
20+ Episodes
Radio D 1 | .. 2     10+
20+ Episodes
Radio D 2| .. 10+     10+
20+ Episodes
Radio D Pjes .. 1     2
20+ Episodes
Radio D | Al .. 10+     10+
20+ Episodes
Radio D | De .. 10+     7
20+ Episodes
Radio D | U .. 30+     10+
20+ Episodes
Radio D | U .. 5     6