Search

Home > Radio D 1 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle > Tukio 07 – Ludwig, Mfalme wa ajabu
Podcast: Radio D 1 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle
Episode:

Tukio 07 – Ludwig, Mfalme wa ajabu

Category: Education
Duration: 00:15:00
Publish Date: 2009-08-24 12:03:00
Description: Paula na Philipp wanamtambulisha Mfalme Ludwig kwa wasikilizaji kwenye mchezo wao wa redio. Kuteleza thelujini usiku, hafla kubwa na uvumbuzi wa ajabu ni mambo ya mwanzo Ludwig aliyoyafanya katika wakati wake. Waandishi habari hao wawili wanawarejesha wasikilizaji hadi katika karne ya 19. Wanapata habari za Mfalme Ludwig, jinsi alivyokuwa akipenda mandhari asilia, muziki wa Richard Wagner na pia uhusiano wake na binamu yake, Malikia Sissi. Kila mtu anashangazwa na meza ambayo Ludwig aliiunda mwenyewe. Tukio hili linahusu vitu ambavyo Mfalme Ludwig anavihiari, na hivyo inabidi kujifunza kitenzi "lieben" (kupenda). Viambishi-tamati hivyo vinatumika kwa kitenzi "kommen" (kuja), ambacho utakisikia baadaye.
Total Play: 0

Some more Podcasts by DW.COM | Deutsche Welle

20+ Episodes
Radio D 1 | .. 40+     40+
20+ Episodes
Radio D 1 | .. 2     10+
20+ Episodes
Radio D 2| .. 10+     10+
20+ Episodes
Radio D Pjes .. 1     2
20+ Episodes
Radio D | Al .. 10+     10+
20+ Episodes
Radio D | De .. 10+     7
20+ Episodes
Radio D | U .. 30+     10+
20+ Episodes
Radio D | U .. 5     6