Search

Home > Radio D 1 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle > Tukio 08 – Kumtambua Mgeni
Podcast: Radio D 1 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle
Episode:

Tukio 08 – Kumtambua Mgeni

Category: Education
Duration: 00:15:00
Publish Date: 2009-08-24 12:05:00
Description: Kwenye Kasri la Neuschwanstein, Paula na Philipp wanamhoji mtu anayedai kuwa Mfalme Ludwig. Paula anagundua jambo linalompa fununu ya kumtambua mgeni huyo asiyeeleweka. Waandishi habari hao wawili wanamrai mtu huyo anayedai kuwa Mfalme Ludwig kukubali mahojiano ya moja kwa moja redioni. Hata hivyo asili ya mtu huyo inabaki kuwa kitendawili. Paula anaporejea afisini, anaona tangazo la biashara la runinga linalompa fununu. Sauti ya tangazo hilo si ngeni kwake. Huwezi kuzungumzia vitu unavyohiari bila kusema nini au nani unayempenda. Kitenzi “lieben” huandamana na shambirisho la uhusiano wa moja kwa moja. Katika tukio hili utaelezwa kuhusu uhusika wa moja kwa moja.
Total Play: 0

Some more Podcasts by DW.COM | Deutsche Welle

20+ Episodes
Radio D 1 | .. 40+     40+
20+ Episodes
Radio D 1 | .. 2     10+
20+ Episodes
Radio D 2| .. 10+     10+
20+ Episodes
Radio D Pjes .. 1     2
20+ Episodes
Radio D | Al .. 10+     10+
20+ Episodes
Radio D | De .. 10+     7
20+ Episodes
Radio D | U .. 30+     10+
20+ Episodes
Radio D | U .. 5     6