Search

Home > Radio D 1 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle > Tukio 10 – Mahojiano na Mfalme Ludwig
Podcast: Radio D 1 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle
Episode:

Tukio 10 – Mahojiano na Mfalme Ludwig

Category: Education
Duration: 00:14:56
Publish Date: 2009-08-24 12:07:00
Description: Philipp anakutana na mwigizaji anayeigiza nafasi ya Mfalme Ludwig katika onyesho la muziki na kumtaka afanye mahojiano naye. Ghafla anatambua sauti yake. Wakati huo huo mgeni asiyetarajiwa atembelea afisi ya Radio D. Katika Kasri la Neuschwanstein, Philipp bila ya msaada wa Paula anafanikiwa kumtambua mtu huyo anayejidai ufalme: ni mwigizaji wa onyesho la muziki la Mfame Ludwig. Philipp anatumia fursa hiyo kumhoji mwanamume huyo. Anaporudi katika afisi ya Radio D mjini Berlin, anashangaa kumpata bundi anayeongea. Tukio hili linaashiria maastajabu anayokumbana nayo Philipp. Utamsikia mara kadha akisema "Das glaube ich nicht" (Hilo siliamini) na "Das weiß ich nicht" (Hilo silijui). Hii ni fursa ya kuzingatia zaidi neno la kukanushia "nicht".
Total Play: 0

Some more Podcasts by DW.COM | Deutsche Welle

20+ Episodes
Radio D 1 | .. 40+     40+
20+ Episodes
Radio D 1 | .. 2     10+
20+ Episodes
Radio D 2| .. 10+     10+
20+ Episodes
Radio D Pjes .. 1     2
20+ Episodes
Radio D | Al .. 10+     10+
20+ Episodes
Radio D | De .. 10+     7
20+ Episodes
Radio D | U .. 30+     10+
20+ Episodes
Radio D | U .. 5     6