Serikali ya DRC na waasi wa M23, mwishoni mwa juma wamekubaliana kuruhusu misaada ya kibinadamu kufika kwenye maeneo ya mashariki mwa nchi hiyo pamoja na kubadilishana wafungwa katika muda wa siku 10 zijazo, haya yakifuatia mazungumzo ya Uswis yalitoratibiwa