Katika makala haya tunajadili hatua ya jiji la Kampala nchini Uganda kutatangaza makataa ya siku 20 kwa wamiliki wa magari ya usafiri wa uma kuondoa magari yaliyochakaa barabarani, mamlaka zikisema lengo ni kupunguza ajali na uchafuzi wa hali ya hewa mjini.
Tunakuuliza, nchi nyingine za Afrika mashariki zinapaswa kuiga mpango huu?
Skiza maoni ya waskilizaji hapa.