Search

Home > Habari RFI-Ki > Jez ni sahihi kwa wanasiasa kutusiana kwenye mikutano ya hadhara?
Podcast: Habari RFI-Ki
Episode:

Jez ni sahihi kwa wanasiasa kutusiana kwenye mikutano ya hadhara?

Category: News & Politics
Duration: 00:10:01
Publish Date: 2026-03-24 16:00:08
Description:

Nchini Kenya, rais William Ruto na aliyekuwa naibu wake Rigathi Gachagua, wamekuwa wakirushiana maneno makali, kwenye mikutano ya hadhara na hata kwenda mbali na kutoa matusi na kushambuliana kuhusu maumbile yao, kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka ujao.

Nini mtazamo wako kuhusu kauli za viongozi hawa ? Katika nchi yako wanasiasa, wanatupiana maneno hivi ?

Total Play: 0

Some more Podcasts by France Médias Monde

100+ Episodes
Cap Océan I .. 10+     3
100+ Episodes
Kida da Al'a .. 10+    
60+ Episodes
300+ Episodes
Une semaine .. 10+     10+
50+ Episodes
Imprensa 2    
100+ Episodes
700+ Episodes
500+ Episodes
Eco d'ici Ec .. 8     7