Tunajadili hatua ya Mataifa ya Kenya na Rwanda, kuanza kukumbatia matumizi ya kamera za siri barabarani ili kunasa madereva wanaokiuka sheria za barabarani, hatua inayolenga kupunguza ajali za mara kwa mara ambazo zimekuwa zikisababisha vifo maelfu ya raia.
Je, unafikiri kamera za siri barabarani zitasaidia kupunguza ajali za barabarani?
Ndilo swali tumekuuliza.
Skiza maoni ya baadhi ya waskizaji.