Search

Home > Habari RFI-Ki > EAC : Mabadiliko nani ya Jumuiya
Podcast: Habari RFI-Ki
Episode:

EAC : Mabadiliko nani ya Jumuiya

Category: News & Politics
Duration: 00:10:05
Publish Date: 2026-03-09 16:00:10
Description:

Katika makala haya tunajdili Juma lililopita wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kumteua rais wa Uganda, Yoweri Museveni kuwa mwenyekiti mpya wa Jumuiya hiyo, huku wakitangaza mabadiliko kadhaa muhimu waliyosema yanalenga kuifanya jumuiya kutosambaratika.

Miongoni mwa mabadiliko ni pamoja na nchi wanachama kuwalipa mshahara wabunge wao na namna nchi zinazodaiwa zitalipa madeni yake.

Unafikiri mabadiliko haya yatasaidia Jumuiya Kukua?

Skiza maoni ya mskilizaji.

Total Play: 0

Some more Podcasts by France Médias Monde

100+ Episodes
Cap Océan I .. 10+     3
100+ Episodes
Kida da Al'a .. 10+    
60+ Episodes
300+ Episodes
Une semaine .. 10+     10+
50+ Episodes
Imprensa 2    
100+ Episodes
700+ Episodes
500+ Episodes
Eco d'ici Ec .. 8     7