Katika makala haya tunajadili kinachoendelea jijini Nairobi nchini Kenya ambapo jiji hilo limeendelea kushuhudia mvua kubwa ambazo zimesababisha maafa ya zaidi ya watu 40.
Nchi nyingine za Afrika Mashariki pia zinaendelea kushuhudia mvua kubwa.
Skiza makala haya.