Mwishoni mwa juma mkutano wa 39 wa Umoja wa Afrika (AU) umefanyika jijjini Adis Ababa nchini Ethiopia
Huku viongozi walioudhuria wakilipea kipau mbele swala la usalama na uchumi wakati huu matafia mengi ya Afrika yakishuhudia migogoro na kudorora kwa uchumi.