Mwishoni mwa juma Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani nchini Kenya Ali Nuno alitoa agizo kwa polisi kuwapiga risasi washukiwa wa uhalifu baada ya eneo hilo kushuhudia ongezeko la magenge yaliyojihami kwa mapanga.
Hata hivyo hatua hiyo imepingwa vikali na mashirika ya kutetea haki za binadamu .Tumekuuliza unazungumziaje agizo hilo,Unadhani ni hatua sahihi kumaliza uhalifu na Nchini mwako hali ikoje