Search

Home > Habari RFI-Ki > Kamanda wa polisi pwani ya Kenya atoa agizo kuwapiga wahalifu risasi
Podcast: Habari RFI-Ki
Episode:

Kamanda wa polisi pwani ya Kenya atoa agizo kuwapiga wahalifu risasi

Category: News & Politics
Duration: 00:10:00
Publish Date: 2026-02-10 16:30:11
Description:

Mwishoni mwa juma Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani nchini Kenya Ali Nuno alitoa agizo kwa polisi kuwapiga risasi washukiwa wa uhalifu baada ya eneo hilo kushuhudia ongezeko la magenge yaliyojihami kwa mapanga.

Hata hivyo hatua hiyo imepingwa vikali na mashirika ya kutetea haki za binadamu .Tumekuuliza unazungumziaje agizo hilo,Unadhani ni hatua sahihi kumaliza uhalifu na Nchini mwako hali ikoje

Total Play: 0

Some more Podcasts by France Médias Monde

100+ Episodes
Cap Océan I .. 10+     3
100+ Episodes
Kida da Al'a .. 10+    
60+ Episodes
300+ Episodes
Une semaine .. 10+     10+
50+ Episodes
Imprensa 2    
100+ Episodes
700+ Episodes
500+ Episodes
Eco d'ici Ec .. 8     7