Januari 26 2026, dunia inaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Nishati Safi, lengo likiwa ni kuhamasisha umuhimu wa matumizi ya nishati safi katika maisha ya kila siku, na mchango wake kwa mazingira na maendeleo endelevu.