Search

Home > Habari RFI-Ki > Maoni: Hatua ya Marekani kutangaza kujiondoa katika mashirika 66 yakiwemo yale ya Umoja wa Mataifa
Podcast: Habari RFI-Ki
Episode:

Maoni: Hatua ya Marekani kutangaza kujiondoa katika mashirika 66 yakiwemo yale ya Umoja wa Mataifa

Category: News & Politics
Duration: 00:10:01
Publish Date: 2026-01-15 06:18:14
Description:

Agizo la kiutendaji lililosainiwa na rais wa Marekani linaagiza Marekani kujiondoa kutoka kwa jumla ya mashirika 66, karibu nusu yake ambayo yana uhusiano na Umoja wa Mataifa, Ikulu ya White House ilisema wiki iliyopita.

Miongoni mwa hayo ni Mkataba wa Mfumo wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Hali ya Hewa (UNFCCC), mkataba wa msingi wa mikataba mingine yote ya kimataifa ya hali ya hewa, uliohitimishwa mwaka wa 1992 katika Mkutano wa Rio Earth.

Total Play: 0

Some more Podcasts by France Médias Monde

100+ Episodes
Cap Océan I .. 10+     3
100+ Episodes
Kida da Al'a .. 10+    
60+ Episodes
300+ Episodes
Une semaine .. 10+     10+
50+ Episodes
Imprensa 2    
100+ Episodes
700+ Episodes
500+ Episodes
Eco d'ici Ec .. 8     7