Hii leo tunazungumzia hatua ya serikali ya Uganda kuagiza mitandao kufungwa, ikisema hatua hiyo inalenga kudhibiti habari za kupotosha na kulinda usalama wa taifa, kueleka uchaguzi mkuu unaofanyika Alhamisi hii.