Search

Home > Habari RFI-Ki > Wawakilishi wa Afrika mashariki wayaaga michuano ya AFCON 2025
Podcast: Habari RFI-Ki
Episode:

Wawakilishi wa Afrika mashariki wayaaga michuano ya AFCON 2025

Category: News & Politics
Duration: 00:09:49
Publish Date: 2026-01-08 16:06:02
Description:

Timu ya DRC "Leorpard" siku ya Jumanne ilikuwa mwakilishi wa mwisho wa Afrika Mashariki kuondolewa kwenye michuano ya kombe la mataifa ya Afrika, baada ya kupoteza mechi yao ya hatua ya 16 bora dhidi ya Algeria. Uganda ilikuwa ya kwanza kuondolewa katika hatua ya makundi ikifuatiwa na Tanzania iliyotolewa kwenye hatua ya mtoano.

Total Play: 0

Some more Podcasts by France Médias Monde

100+ Episodes
Cap Océan I .. 10+     3
100+ Episodes
Kida da Al'a .. 10+    
60+ Episodes
300+ Episodes
Une semaine .. 10+     10+
50+ Episodes
Imprensa 2    
100+ Episodes
700+ Episodes
500+ Episodes
Eco d'ici Ec .. 8     7