Search

Home > Habari RFI-Ki > Maandalizi ya timu za mataifa ya Afrika mashariki na kati katika AFCON 2025
Podcast: Habari RFI-Ki
Episode:

Maandalizi ya timu za mataifa ya Afrika mashariki na kati katika AFCON 2025

Category: News & Politics
Duration: 00:10:01
Publish Date: 2025-12-23 15:58:36
Description:

Msikilizaji Mashindano makubwa zaidi ya soka barani Afrika, Kuwania Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 yanaingia katika siku yake ya tatu leo jumanne ambapo jumla ya timu 24 za mataifa ya Afrika zikiwania taji hilo. Leo DRC wanamenyana na Benin, Tanzania wanakutana na Nigeria. Unazungumziaje maandalizi ya nchi za Afrika Mashariki na kati ?Nini matarajio yako kwenye mashindano haya ?

Total Play: 0

Some more Podcasts by France Médias Monde

100+ Episodes
Cap Océan I .. 10+     3
100+ Episodes
Kida da Al'a .. 10+    
60+ Episodes
300+ Episodes
Une semaine .. 10+     10+
50+ Episodes
Imprensa 2    
100+ Episodes
700+ Episodes
500+ Episodes
Eco d'ici Ec .. 8     7