Search

Home > Habari RFI-Ki > Waasi wa AFC/M23 wanaosaidiwa na Rwanda waudhibiti mji wa Uvira nchini DRC
Podcast: Habari RFI-Ki
Episode:

Waasi wa AFC/M23 wanaosaidiwa na Rwanda waudhibiti mji wa Uvira nchini DRC

Category: News & Politics
Duration: 00:09:59
Publish Date: 2025-12-11 16:00:11
Description:

Waasi wa AFC/M23 wanaosaidiwa na Rwanda, ni rasmi sasa wanaudhibiti mji wa kimkakati wa Uvira jimboni Kivu Kusini, hatua inayokuja licha ya wiki iliyopita DRC na Rwanda kutia saini mkataba wa amani.Tunamuuliza msikilizaji anazungumziaje kilichofanywa na waasi wa M23,,Nini kifanyike? na Je, msikilizaji yuko Uvira au amekimbia kutoka Uvira

Total Play: 0

Some more Podcasts by France Médias Monde

100+ Episodes
Cap Océan I .. 10+     3
100+ Episodes
Kida da Al'a .. 10+    
60+ Episodes
300+ Episodes
Une semaine .. 10+     10+
50+ Episodes
Imprensa 2    
100+ Episodes
700+ Episodes
500+ Episodes
Eco d'ici Ec .. 8     7