Search

Home > Habari RFI-Ki > Siku ya kimataifa ya kupambana na virusi vya ukimwi
Podcast: Habari RFI-Ki
Episode:

Siku ya kimataifa ya kupambana na virusi vya ukimwi

Category: News & Politics
Duration: 00:09:59
Publish Date: 2025-12-01 16:18:13
Description:

Siku ya kimataifa ya mapambano dhidi ya UKIMWI, Umoja wa Mataifa unasema kupungua kwa misaada kunatishia dunia kufikia lengo la kudhibiti ugonjwa huu ifikapo mwaka 2030, huduma za kinga zimevurugika hasa kwenye nchi masikini.

 unazungumziaje siku hii, je dunia tumepiga hatua kukabiliana na ugonjwa huu?

Skiza maoni ya baadhi ya waskilizaji.

Total Play: 0

Some more Podcasts by France Médias Monde

100+ Episodes
Cap Océan I .. 10+     3
100+ Episodes
Kida da Al'a .. 10+    
60+ Episodes
300+ Episodes
Une semaine .. 10+     10+
50+ Episodes
Imprensa 2    
100+ Episodes
700+ Episodes
500+ Episodes
Eco d'ici Ec .. 8     7