Search

Home > Habari RFI-Ki > Trump atishia kutumia jeshi la Marekani kupambana na wanajihadi wanaowauwa Wakiristo nchini Nigeria
Podcast: Habari RFI-Ki
Episode:

Trump atishia kutumia jeshi la Marekani kupambana na wanajihadi wanaowauwa Wakiristo nchini Nigeria

Category: News & Politics
Duration: 00:09:59
Publish Date: 2025-11-07 13:29:14
Description:

Katika makala ya Habari Rafiki hii leo tunazungumzia hatua ya Rais wa Marekani Donald Trump kutishia kutumia jeshi la nchi yake kupambana na wanajihadi wanaowauwa Wakiristo nchini Nigeria.

Kauli hii imewakasirisha viongozi wa Nigeria, ambao wanasema serikali nchini humo, haiungi mkono unyanyasaji wa kidini. Tumemuuliza msikilizaji anazungumzia vipi mpango wa huu wa Trump na ni nini kinaweza kufanyika kumaliza mauaji ya kidini nchini Nigeria.

Total Play: 0

Some more Podcasts by France Médias Monde

100+ Episodes
Cap Océan I .. 10+     3
100+ Episodes
Kida da Al'a .. 10+    
60+ Episodes
300+ Episodes
Une semaine .. 10+     10+
50+ Episodes
Imprensa 2    
100+ Episodes
700+ Episodes
500+ Episodes
Eco d'ici Ec .. 8     7