Search

Home > Habari RFI-Ki > Djibouti : Laondoa ukomo wa kuwania urais
Podcast: Habari RFI-Ki
Episode:

Djibouti : Laondoa ukomo wa kuwania urais

Category: News & Politics
Duration: 00:09:59
Publish Date: 2025-10-27 16:00:05
Description:

    Djibouti  limekuwa taifa la  hivi punde  kuondoa rasmi kikomo cha umri wa rais , hatua inayotoa fursa kwa rais  Ismail Omar Guelleh kugombea muhula wa sita katika uchaguzi uliopangwa kufanyika Aprili mwaka ujao.

Awali Katiba ya nchi hiyo ilikuwa inamzuia rais kugombea tena baada ya kufikisha miaka 75. 

Hali hii pia imeonekana kwenye mataifa kadhaa ya Afrika Mashariki kama vile Uganda.

Skiza mahakala haya kuskia maoni ya waskilizaji.

Total Play: 0

Some more Podcasts by France Médias Monde

100+ Episodes
Cap Océan I .. 10+     3
100+ Episodes
Kida da Al'a .. 10+    
60+ Episodes
300+ Episodes
Une semaine .. 10+     10+
50+ Episodes
Imprensa 2    
100+ Episodes
700+ Episodes
500+ Episodes
Eco d'ici Ec .. 8     7