Search

Home > Habari RFI-Ki > CHAN 2025: Nchi gani ilipendeza wasikilizaji wetu na maandalizi yalikuwa aje?
Podcast: Habari RFI-Ki
Episode:

CHAN 2025: Nchi gani ilipendeza wasikilizaji wetu na maandalizi yalikuwa aje?

Category: News & Politics
Duration: 00:09:58
Publish Date: 2025-09-04 15:03:35
Description:

Michuano ya CHAN imemalizika rasmi mwishoni mwa juma, nchini Kenya, Morocco wakitawazwa mabingwa na Madagascar wakimaliza wa pili.

 

Kuisha kwa michuano hii ni mwanzo wa maandalizi ya michuano ya AFCON itakayofanyika tena kwenye nchi za Kenya, Uganda na Tanzania mwaka 2027.

Tumemuuliza msikilizaji wetu iwapo amefurahia michuano ya mwaka huu? Timu ipi ilikuwa bora kwake na kipi kifanyike kuelekea mashindano ya AFCON 2027.

Total Play: 0

Some more Podcasts by France Médias Monde

100+ Episodes
Cap Océan I .. 10+     3
100+ Episodes
Kida da Al'a .. 10+    
60+ Episodes
300+ Episodes
Une semaine .. 10+     10+
50+ Episodes
Imprensa 2    
100+ Episodes
700+ Episodes
500+ Episodes
Eco d'ici Ec .. 8     7