Search

Home > Habari RFI-Ki > Nchini Kenya CAF yadhibiti idadi ya mashabiki viwanjani kwenye michezo ya chan
Podcast: Habari RFI-Ki
Episode:

Nchini Kenya CAF yadhibiti idadi ya mashabiki viwanjani kwenye michezo ya chan

Category: News & Politics
Duration: 00:10:00
Publish Date: 2025-08-12 16:00:03
Description:

Mada ya leo ni  kuhuus  michuano ya CHAN inapoendelea kushika kasi kwenye nchi za Kenya, Uganda na Tanzania, nchini Kenya baadhi ya mashabiki wamekuwa wakitumia nguvu kuingia uwanjani bila ya tiketi, hatua ambayo shirikisho la soka la Afrika CAF, limelazimika kupunguza idadi ya mashabiki kuingia uwanjani kwa sababu za kiusalama.,,tumemuuliza  nini kifanyike kudhibiti usalama wa mashabiki na viwanja? na Kwenye nchi yako wakati wa mechi kubwa hali huwaje?

Total Play: 0

Some more Podcasts by France Médias Monde

100+ Episodes
Cap Océan I .. 10+     3
100+ Episodes
Kida da Al'a .. 10+    
60+ Episodes
300+ Episodes
Une semaine .. 10+     10+
50+ Episodes
Imprensa 2    
100+ Episodes
700+ Episodes
500+ Episodes
Eco d'ici Ec .. 8     7