Search

Home > Habari RFI-Ki > Hatua ya wanasiasa kuhama hama vyama baada ya kukosa kufaulu kwenye uteuzi
Podcast: Habari RFI-Ki
Episode:

Hatua ya wanasiasa kuhama hama vyama baada ya kukosa kufaulu kwenye uteuzi

Category: News & Politics
Duration: 00:10:03
Publish Date: 2025-08-07 16:00:05
Description:

mada ya leo ni kuhusu Nchini Tanzania ambapo baadhi ya wanasiasa wa CCM ambao hawakufaulu katika uteuzi wa chama, wameanza kuhamia vyama vingine ili kugombea viti mbalimbali kwenye uchaguzi wa oktoba mwaka huu.Hali hii  imekuwa ikishuhudiwa pia katika mataifa mbalimbali barani Afrika.

Tunamuuliza msikilizaji anaizungumziaje hatua hii ya hama hama kisiasa,na hali hii inashuhudiwa nchini mwake,,

Total Play: 0

Some more Podcasts by France Médias Monde

100+ Episodes
Cap Océan I .. 10+     3
100+ Episodes
Kida da Al'a .. 10+    
60+ Episodes
300+ Episodes
Une semaine .. 10+     10+
50+ Episodes
Imprensa 2    
100+ Episodes
700+ Episodes
500+ Episodes
Eco d'ici Ec .. 8     7