Search

Home > Habari RFI-Ki > Côte d'Ivoire : Kurejeshewa ngoma maalum kutoka Ufaransa
Podcast: Habari RFI-Ki
Episode:

Côte d'Ivoire : Kurejeshewa ngoma maalum kutoka Ufaransa

Category: News & Politics
Duration: 00:09:56
Publish Date: 2025-07-08 16:20:48
Description:

Kaika makala haya tunajadili  hatua ya bunge nchini Ufaransa kupiga kura na kupitisha mswada wa kurudishwa nchini Ivory Coast ngoma maalum inayozungumza iliyochukuliwa katika nchi hiyo ya Afrika kutoka kabila la Ebrie wakati wa ukoloni mwaka 1916.

Je umefika wakati kwa koloni za zamani za Bara la Afrika kurejesha vyombo walivyopora ?

 

Ndilo swali tumekuuliza .

Haya hapa maoni yako.

Total Play: 0

Some more Podcasts by France Médias Monde

100+ Episodes
Cap Océan I .. 10+     3
100+ Episodes
Kida da Al'a .. 10+    
60+ Episodes
300+ Episodes
Une semaine .. 10+     10+
50+ Episodes
Imprensa 2    
100+ Episodes
700+ Episodes
500+ Episodes
Eco d'ici Ec .. 8     7