Search

Home > Habari RFI-Ki > Burundi : Rais Ndayishimiye ataka mazungumzo na upinzani
Podcast: Habari RFI-Ki
Episode:

Burundi : Rais Ndayishimiye ataka mazungumzo na upinzani

Category: News & Politics
Duration: 00:10:01
Publish Date: 2025-06-16 16:00:07
Description:

Rais wa Burundi Evariste #Ndayishimiye ametoa wito kwa upinzani kushiriki katika mazungumzo na chama chake CNDD-FDD baada ya uchaguzi wa wiki iliyopita ambao ulikumbwa na upinzani mkubwa kwa ukosefu wa uwazi.

 

Hata hivyo upinzani haujaonyesha nia ya kushiriki mazungumzo hayo.

Tunakuuliza, ni sahihi upinzani kujiunga na serikali ?

skiza makala haya kuskia maoni ya mskilizaji.

Total Play: 0

Some more Podcasts by France Médias Monde

100+ Episodes
Cap Océan I .. 10+     3
100+ Episodes
Kida da Al'a .. 10+    
60+ Episodes
300+ Episodes
Une semaine .. 10+     10+
50+ Episodes
Imprensa 2    
100+ Episodes
700+ Episodes
500+ Episodes
Eco d'ici Ec .. 8     7