Search

Home > Habari RFI-Ki > Kauli ya rais wa Tanzania Samia Suluhu kuwazuia wanaharakati wa nchi zingine
Podcast: Habari RFI-Ki
Episode:

Kauli ya rais wa Tanzania Samia Suluhu kuwazuia wanaharakati wa nchi zingine

Category: News & Politics
Duration: 00:09:27
Publish Date: 2025-05-20 19:00:07
Description:

Leo tunaangazia ,hatua ya  Tanzania kuwazuia  Mawakili, wanaharakati wa haki za binadamu kutoka nchini Kenya, akiwemo Jaji Mkuu mstaafu Willy Mutunga  waliokwenda kusikiliza kesi ya uhaini inayomkabili kiongozi mkuu wa upinzani Tundu Lissu.

Rais Samia Suluhu Hassan, amesema serikali yake haitaruhusu wanaharakati wa kigeni kuingia nchini Tanzania na kuingilia masuala ya ndani ya nchi yake.

Total Play: 0

Some more Podcasts by France Médias Monde

100+ Episodes
Cap Océan I .. 10+     3
100+ Episodes
Kida da Al'a .. 10+    
60+ Episodes
300+ Episodes
Une semaine .. 10+     10+
50+ Episodes
Imprensa 2    
100+ Episodes
700+ Episodes
500+ Episodes
Eco d'ici Ec .. 8     7