Wabunge wa upinzani hata hivyo walisusia kikao kilichopitisha mswada huo kwa haraka.
Wanasiasa wa upinzani wanadai mswada huo unawalenga wakosoaji wa rais Yoweri Museveni