Search

Home > Habari RFI-Ki > Dunia uhuru wa vyombo vya habari na wanahabari
Podcast: Habari RFI-Ki
Episode:

Dunia uhuru wa vyombo vya habari na wanahabari

Category: News & Politics
Duration: 00:09:36
Publish Date: 2025-05-05 16:00:04
Description:

Leo mada yetu inajikita kwa siku ya kimataifa ya uhuru wa vyombo vya habari, ambapo  Umoja wa Mataifa umesema licha ya baadhi ya nchi kupiga hatua katika ulinzi wa wanahabari, hofu ya uhuru wa habari kuendelea kuminywa inaendelea kutanda.

Mwaka jana jumla ya wanahabari 82 walipoteza maisha wakitekeleza majukumu yao.

 

Tuambie nchini mwako vyombo vya habari viko huru?

 

Haya hapa baadhi ya maoni yako, skiza makala.

Total Play: 0

Some more Podcasts by France Médias Monde

100+ Episodes
Cap Océan I .. 10+     3
100+ Episodes
Kida da Al'a .. 10+    
60+ Episodes
300+ Episodes
Une semaine .. 10+     10+
50+ Episodes
Imprensa 2    
100+ Episodes
700+ Episodes
500+ Episodes
Eco d'ici Ec .. 8     7