Search

Home > Habari RFI-Ki > Joseph Kabila adaiwa kurejea DRC kupitia Goma
Podcast: Habari RFI-Ki
Episode:

Joseph Kabila adaiwa kurejea DRC kupitia Goma

Category: News & Politics
Duration: 00:09:53
Publish Date: 2025-04-21 16:00:04
Description:

Juma lililopita ripoti ambazo hazijathibitishwa rasmi zilieleza kuwa rais wa zamani wa DRC, Joseph Kabila alirejea nchini Mwake kupitia mji wa Goma unaokaliwa na waasi wa M23 wanaosaidiwa na Rwanda.

Hata hivyo hatua yake imeifanya serikali ya Kinshasa, kusimamisha shughuli zote za chama chake cha PPRD, ikikituhumu kushurikiana na waasi hao.

Unazungumziaje kurejea kwa rais Kabila?

Ndilo swali tumekuuliza katika makala haya.

Skiza maoni ya mskilizaji.

Total Play: 0

Some more Podcasts by France Médias Monde

100+ Episodes
Cap Océan I .. 10+     3
100+ Episodes
Kida da Al'a .. 10+    
60+ Episodes
300+ Episodes
Une semaine .. 10+     10+
50+ Episodes
Imprensa 2    
100+ Episodes
700+ Episodes
500+ Episodes
Eco d'ici Ec .. 8     7