Search

Home > Habari RFI-Ki > DRC: Kujerea kwa Joseph Kabila kwaibua hisia mseto
Podcast: Habari RFI-Ki
Episode:

DRC: Kujerea kwa Joseph Kabila kwaibua hisia mseto

Category: News & Politics
Duration: 00:10:05
Publish Date: 2025-04-10 16:00:04
Description:

Katika makala haya shaba yetu inalenga nchini DRC, ambapo Rais mustaafu wa DRC, Joseph Kabila, ametangaza kurejea nchini humo, kutoka nchini Afrika Kusini ambako amekuwa akiishi kwa zaidi ya mwaka moja , ili kuchangia kutafuta suluhu kwa mzozo wa usalama mashariki mwa nchi yake.

Unazungumziaje hatua hii ya Kabila?

 

Ndilo swali tulikuuliza, skiza makala haya kuskia maoni ya waskilizaji wetu.

Total Play: 0

Some more Podcasts by France Médias Monde

100+ Episodes
Cap Océan I .. 10+     3
100+ Episodes
Kida da Al'a .. 10+    
60+ Episodes
300+ Episodes
Une semaine .. 10+     10+
50+ Episodes
Imprensa 2    
100+ Episodes
700+ Episodes
500+ Episodes
Eco d'ici Ec .. 8     7