Search

Home > Habari RFI-Ki > Rais wa DRC, Felix Tschsekedi, atangaza kuunda Serikali ya umoja wa kitaifa
Podcast: Habari RFI-Ki
Episode:

Rais wa DRC, Felix Tschsekedi, atangaza kuunda Serikali ya umoja wa kitaifa

Category: News & Politics
Duration: 00:10:00
Publish Date: 2025-02-24 16:00:07
Description:

Karibu  kwenye kipindi cha leo ambapo tunaangazia tangazo la  Rais wa DRC, Felix Tschsekedi, kuwa  ataunda Serikali ya umoja wa kitaifa, hatua inayokuja wakati huu akiwa katika shinikizo kutoka ndani na nje ya nchi yake, kuhusu namna alivyoshughulikia mzozo wa mashariki mwa nchi yake, wakati huu waasi wa M23 wakichukua miji zaidi.

Total Play: 0

Some more Podcasts by France Médias Monde

100+ Episodes
Cap Océan I .. 10+     3
100+ Episodes
Kida da Al'a .. 10+    
60+ Episodes
300+ Episodes
Une semaine .. 10+     10+
50+ Episodes
Imprensa 2    
100+ Episodes
700+ Episodes
500+ Episodes
Eco d'ici Ec .. 8     7