Search

Home > Habari RFI-Ki > Visa vya uchimbaji madini haramu vinazidi kuongezeka barani Afrika
Podcast: Habari RFI-Ki
Episode:

Visa vya uchimbaji madini haramu vinazidi kuongezeka barani Afrika

Category: News & Politics
Duration: 00:09:58
Publish Date: 2025-01-22 16:00:05
Description:

Visa vya uchimbaji wa madini haramu   vimeongezeka katika nchi mbalimbali barani Afrika .Afrika Kusini ikiwa  mfano wa nchi hizo ambayo imeshuhudia miili ya wachimba midogo zaidi ya 70 ikipatikana katika mgodi wa dhahabu usiokuwa rasmi.

Kwenye kipindi cha leo tumemuuliza msikilizaji  anafkiri nchi za Afrika zimeshindwa kudhibiti uchimbaji haramu wa madini ? na nini kinaweza kufanyika kuzuia uchimbaji huo haramu ?

Total Play: 0

Some more Podcasts by France Médias Monde

100+ Episodes
Cap Océan I .. 10+     3
100+ Episodes
Kida da Al'a .. 10+    
60+ Episodes
300+ Episodes
Une semaine .. 10+     10+
50+ Episodes
Imprensa 2    
100+ Episodes
700+ Episodes
500+ Episodes
Eco d'ici Ec .. 8     7