Kila siku ya Ijumaa ni Mada huru ambapo tunakupa nafasi msikilizaji kuchangia suala lolote ambalo limetokea nchini mwake au kile ambacho amekisikia katika matangazo yetu ya wiki hii.