Search

Home > Habari RFI-Ki > Krisimasi: Mamia ya wasafiri Kenya wakwama barabarani wakielekea sikukuu
Podcast: Habari RFI-Ki
Episode:

Krisimasi: Mamia ya wasafiri Kenya wakwama barabarani wakielekea sikukuu

Category: News & Politics
Duration: 00:09:54
Publish Date: 2024-12-24 16:10:06
Description:

Mamia ya wasafiri wanaoelekea maeneo mbalimbali kwa sherehe za Krismasi wamekwama barabarani nchini Kenya kutokana na msongamano mkubwa wa magari na wengine kukosa magari ya usafiri wa umma.

Tunamuuliza msikilizaji nini kinasababisha kuongezeka kwa safari msimu wa sikukuu na nchini mwao hali ikoje.

Total Play: 0

Some more Podcasts by France Médias Monde

100+ Episodes
Cap Océan I .. 10+     3
100+ Episodes
Kida da Al'a .. 10+    
60+ Episodes
300+ Episodes
Une semaine .. 10+     10+
50+ Episodes
Imprensa 2    
100+ Episodes
700+ Episodes
500+ Episodes
Eco d'ici Ec .. 8     7