Search

Home > Habari RFI-Ki > Habari Rafiki: Somalia kuongoza Kikosi cha Kudumu cha Afrika Mashariki
Podcast: Habari RFI-Ki
Episode:

Habari Rafiki: Somalia kuongoza Kikosi cha Kudumu cha Afrika Mashariki

Category: News & Politics
Duration: 00:09:56
Publish Date: 2024-12-23 15:28:52
Description:

Kwa mara ya kwanza katika historia yake, Somalia itaongoza Kikosi cha Kudumu cha Afrika Mashariki (EASF) ambacho kimetwikwa jukumu la kuimarisha amani na usalama katika eneo hilo baada ya kuchukua uenyekiti wa Baraza la Mawaziri wa Ulinzi wa jumuiya hiyo kutoka nchi ya Rwanda katika hafla iliyofanyika jijini Kigali hapo jana.

Tunamuuliza msikilizaji maoni yake ni yepi kuhusiana na hatua hii.

Total Play: 0

Some more Podcasts by France Médias Monde

100+ Episodes
Cap Océan I .. 10+     3
100+ Episodes
Kida da Al'a .. 10+    
60+ Episodes
300+ Episodes
Une semaine .. 10+     10+
50+ Episodes
Imprensa 2    
100+ Episodes
700+ Episodes
500+ Episodes
Eco d'ici Ec .. 8     7