Mapendekezo ya taifa la Uingereza yanataka vita kusitishwa nchini Sudan na kuruhusiwa misaada ya kibinadamu kuwafikia waathiriwa.