Kila Ijumaa rfi kiswahili inakupa nafasi kuchangia mada yoyote kuhusu taarifa zetu au kile kinachoendelea hapo ulipo.
Haya ni maoni ya waskilizaji wetu juma hili.