Donald Trump amechaguliwa tena rais wa Marekani baada ya kukaa kwenye kijibaridi kwa kipindi cha miaka 4.
Waskilizaji wa rfi Kiswahili walikuwa na maoni haya baada ya mshindi wa Trump.