Search

Home > Habari RFI-Ki > Botswana : Chama tawala chasalimu amri
Podcast: Habari RFI-Ki
Episode:

Botswana : Chama tawala chasalimu amri

Category: News & Politics
Duration: 00:09:55
Publish Date: 2024-11-05 16:00:05
Description:

Katika makala haya tunajadili kilichotokea nchini Botswana ambapo  Chama tawala Democratic Party, ambacho kimekuwa madarakani tangu enzi za ukombozi kwa maika 58, kimekubali kushindwa na kukabidhi madaraka kwa upinzani, Duma Boko akiapishwa kuhudumu rais kama rais wa sita wa Botswana.

Je mataifa mengine ya Afrika yenye vyama vya ukombozi madarani yanaweza jifunza nini kutokana na uchaguzi wa Botswana?

Ndilo swali Tumekuuliza na haya hapa baadhi ya maoni yako.

Total Play: 0

Some more Podcasts by France Médias Monde

100+ Episodes
Cap Océan I .. 10+     3
100+ Episodes
Kida da Al'a .. 10+    
60+ Episodes
300+ Episodes
Une semaine .. 10+     10+
50+ Episodes
Imprensa 2    
100+ Episodes
700+ Episodes
500+ Episodes
Eco d'ici Ec .. 8     7