Ripoti ya hivi karibuni ya umoja wa mataifa ,kuhusu usawa wa kijinsia, takwimu zinaonesha hatua kupigwa lakini changamoto bado zimesalia.