Jenerali Muhoozi Kainerugaba, amesema hatowania urais ila Uganda itaendelea kuongozwa na polisi au jeshi baada ya rais Museveni
Juma lililopita mtoto wa Rais wa #Uganda pia mkuu wa majeshi Jenerali Muhoozi Kainerugaba, kuwa nchi hiyo itaongozwa na mwanajeshi au polisi baada ya baba yake kuondoka madarakani.