Katika makala haya tunajadili kinachoendelea katika mataifa mengi ya Afrika kuendelea kushuhudia ukosefu wa ajira miongoni mwa vijana, hii likichangia kwa kiasi kikubwa uhalifu.
Je Wewe unafanya nini ili kupata riziki ya kila siku ?
Ndilo swali tumekuuliza
Haya hapa baadhi ya maoni yako.