Rais William Ruto amependekeza viongozi wanne kutoka chama cha ODM cha Raila Odinga kuwa mawaziri
Miongoni mwa viongozi hao ni Ali Hassan Joho ,John Mbadi ,Wicliffe Oparanya na Opiyo Wandayi