Vijana nchini Kenya wamekuwa wakiongoza maandamano dhidi ya serikali ya rais William Ruto
Nchi ya Uganda imeshuhudia pia maandamano ,yanayoongozwa na vijana wa Gen Z kupinga ufisadi na maovu mengine